Wakati wa hafla ya kufunga ofisi ya misheni ya Umoja wa Mataifa huko Bukavu Jumanne, Juni 25, MONUSCO ilitangaza mchango wa mali yenye thamani ya dola milioni 10 kwa mamlaka ya DRC na washirika kadhaa wa Kongo. Ujumbe huo pia...
Wandishi wahabari walikumbushwa kazi yao katika lengo la kuishi pamoja kijamii. Baadae walifunzwa kuhusu kutafuta habari kwa kutumia akili inayotengenezwa...