HABARI Kinshasa: yaendelea na Mpango wa Kutuma Wajumbe Luanda Licha ya M23 Kususia Mazungumzo by Rédaction Centrale 18 Machi 2025
Kivu ya kaskazini/ Nyiragongo: Kabila la wakumu lajitahidi kurejesha usalama kwao by Juvénal Murhula 22 Juni 2024 0 Ni katika lengo la kutaka kutekeleza amani, maendeleo ya kudumu, kurejesha usalama wilayani humo. Washiriki kikao walisema kukerwa na hali...
Ikweta: Vijana watekwa nyara hazarani na Vyombo vya usalama by Juvénal Murhula 21 Juni 2024 0 Karibu vijana mia moja hamsini miongoni mwao watoto wa umri chini ya 18 wamefungwa na kupelekwa kwenyi kituo cha mafunzo...
Goma: Wandishi wahabari wafunzwa kwa kuboresha kazi yao by Juvénal Murhula 20 Juni 2024 0 Wandishi wahabari walikumbushwa kazi yao katika lengo la kuishi pamoja kijamii. Baadae walifunzwa kuhusu kutafuta habari kwa kutumia akili inayotengenezwa...
Goma: Vyombo vya usalama yashika watu wakiuza nakuvuta dawa za kulevya “bangi’ by Rédaction Centrale 19 Juni 2024 0 Kamisa mkuu Kapend Kamand Faustin pia mea wa mji anena kwamba jambazi umoja alinaswa usiku wa tarehe 14 kuamkia tarehe...
Bukavu: Muungano ya wana harakatati wa shirika la raia inaomba mafasirio kwa shirika Regideso kuhusu shida ya maji by Rédaction Centrale 17 Juni 2024 0 "Tulianza kutana mwezi januari mwaka huu ili kuomba shirika Regideso mafasirio, kwa kuwa raia wanalipa pesa kuhusu maji ambayo hawapate....
Ukosefu wa Usalama Mashariki mwa DRC: Msimamo wa ICRC kuhusu waliokimbia makazi yao katika kambi ya Kanyabayonga by Rédaction Centrale 5 Juni 2024 0 Mji wa Kanyabayonga tayari ilikuwa nyumbani kwa maelfu ya familia zilizo kimbia ghasia katika jamii zao kufuatia kuendelea kwa uasi....
DRC: Taarifa kuhusu Serikali ya Suminwa by Rédaction Centrale 31 Mei 2024 0 Serikali ya Suminwa ndiyo serikali ya sasa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, inayoongozwa na Waziri Mkuu Judith Tuluka Suminwa....
DRC/Usalama: Julien Paluku anapendekeza ujenzi wa jimbo lenye msingi wa jeshi na utawala dhabiti. by Rédaction Centrale 27 Mei 2024 0 Ili kumaliza mgogoro huo, Gavana wa zamani wa Kivu Kaskazini, Waziri wa Viwanda katika Serikali ya Saman1 na 2 anatoa...
Shambulio la Kusini DRC: haliwezi kutatuliwa kwa nguvu za kijeshi, bali suluhisho ni waKongo wenyewe (W. Ruto) by Rédaction Centrale 22 Mei 2024 0 Rais Ruto, mzozo huu wa usalama katika eneo la mashariki mwa DRC na mvutano uliopo kati ya Tshisekedi na Kagame...
Jaribio la kumuua V. Kamerhe: Mbunge Cédric Tshizainga alaani na kutaka uchunguzi ufanyike by Rédaction Centrale 19 Mei 2024 0 Kulingana na vyanzo kwenye tovuti iliyowasiliana na Kivuavenir.com, wanaume hawa walivaa sare za kijeshi zinazofanana na zile za wanajeshi wa...