HABARI Kivu-Kusini: Waakaji wa Walungu wanadai kubandilishwa lami ya RN 2 kama walivyo ahidiwa na Rais by Rédaction Centrale 30 Agosti 2024
Kivu Kusini: Kabare Alexandre Rugemaninzi wa 3 ndiye mwami mpya wa Kabare by Rédaction Centrale 29 Agosti 2024 0 Yeye ni naibu wa jimbo aliyechaguliwa kwa eneo la Kabare kwa niaba ya Muungano wa Taifa la Kongo, UNC, Vital...
DRC: Umoja ya Ulaya yajitoleya kutowa misaada ya kibinadamu kwa wale waliokimbia vita Kivu Kaskazini by Rédaction Centrale 18 Juni 2024 0 Lengo la mkutano huo, Umoja wa Ulaya uilitaka kujuwa moja kwa moja kuhusu hali ya kibinadamu mashariki mwa nchi, haswa...
Bukavu: Muungano ya wana harakatati wa shirika la raia inaomba mafasirio kwa shirika Regideso kuhusu shida ya maji by Rédaction Centrale 17 Juni 2024 0 "Tulianza kutana mwezi januari mwaka huu ili kuomba shirika Regideso mafasirio, kwa kuwa raia wanalipa pesa kuhusu maji ambayo hawapate....
DRC: Kivu Kaskazini ni shida isiyoelezeka by Rédaction Centrale 6 Juni 2024 0 Hakika, mji wa Kanyabayonga ulikuwa mlengwa wa milipuko mikali ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda, kulingana...
Ukosefu wa Usalama Mashariki mwa DRC: Msimamo wa ICRC kuhusu waliokimbia makazi yao katika kambi ya Kanyabayonga by Rédaction Centrale 5 Juni 2024 0 Mji wa Kanyabayonga tayari ilikuwa nyumbani kwa maelfu ya familia zilizo kimbia ghasia katika jamii zao kufuatia kuendelea kwa uasi....
DRC/Usalama: Julien Paluku anapendekeza ujenzi wa jimbo lenye msingi wa jeshi na utawala dhabiti. by Rédaction Centrale 27 Mei 2024 0 Ili kumaliza mgogoro huo, Gavana wa zamani wa Kivu Kaskazini, Waziri wa Viwanda katika Serikali ya Saman1 na 2 anatoa...
Kivu Kusini: Watu wawili wapoteza maisha katika mlipuko wa bomu huko Minova by Rédaction Centrale 13 Mei 2024 0 Tukio hilo lilitokea mwendo wa saa 1 usiku wakati zaidi ya mabomu 5 yakitoka eneo jirani la Masisi yaliyorushwa na...