Karibu vijana mia moja hamsini miongoni mwao watoto wa umri chini ya 18 wamefungwa na kupelekwa kwenyi kituo cha mafunzo Kanyama kasese. Miongoni wanachuo na wanafunzi wakiachishwa shule.
Watetezi wa haki ya binaadam walaumu vitendo hivyo wakiviita utekaji nyara hazarani.
<< Vitendo hivyo vya askari polisi ni ukiukaji wa haki ya binaadam. Kwa kuwa inaenda kinyume na uhuru wa mtu>> aeleza moja wa watetezi wa haki ya binaadam.