AFRIKA Kiongozi wa Burundi: Evariste Ndayishimiye, Atahadharisha Rwanda Dhidi ya Uvamizi wa Kijeshi by Rédaction Centrale 26 Machi 2025
Mwisho wa MONUSCO Kivu Kusini na wametoa msaada wa mali ya dola milioni 10 kwa DRC. by Rédaction Centrale 27 Juni 2024 0 Wakati wa hafla ya kufunga ofisi ya misheni ya Umoja wa Mataifa huko Bukavu Jumanne, Juni 25, MONUSCO ilitangaza mchango...
DRC : Waziri mkuu Judith Suminwa Tuluka yupo ziarani kikazi Kivu Kusini by Rédaction Centrale 30 Juni 2024 0 Bi Judith Suminwa Tuluka alipokelewa naye liwali wa jimbo la Kivu ya kusini Jean Jacques Purusi akishindikizwa na wanamemba wa...
Kivu ya kaskazini/ Nyiragongo: Kabila la wakumu lajitahidi kurejesha usalama kwao by Juvénal Murhula 22 Juni 2024 0 Ni katika lengo la kutaka kutekeleza amani, maendeleo ya kudumu, kurejesha usalama wilayani humo. Washiriki kikao walisema kukerwa na hali...
Ikweta: Vijana watekwa nyara hazarani na Vyombo vya usalama by Juvénal Murhula 21 Juni 2024 0 Karibu vijana mia moja hamsini miongoni mwao watoto wa umri chini ya 18 wamefungwa na kupelekwa kwenyi kituo cha mafunzo...
Goma: Wandishi wahabari wafunzwa kwa kuboresha kazi yao by Juvénal Murhula 20 Juni 2024 0 Wandishi wahabari walikumbushwa kazi yao katika lengo la kuishi pamoja kijamii. Baadae walifunzwa kuhusu kutafuta habari kwa kutumia akili inayotengenezwa...
Goma: Vyombo vya usalama yashika watu wakiuza nakuvuta dawa za kulevya “bangi’ by Rédaction Centrale 19 Juni 2024 0 Kamisa mkuu Kapend Kamand Faustin pia mea wa mji anena kwamba jambazi umoja alinaswa usiku wa tarehe 14 kuamkia tarehe...
Bukavu: Muungano ya wana harakatati wa shirika la raia inaomba mafasirio kwa shirika Regideso kuhusu shida ya maji by Rédaction Centrale 17 Juni 2024 0 "Tulianza kutana mwezi januari mwaka huu ili kuomba shirika Regideso mafasirio, kwa kuwa raia wanalipa pesa kuhusu maji ambayo hawapate....
Ukosefu wa Usalama Mashariki mwa DRC: Msimamo wa ICRC kuhusu waliokimbia makazi yao katika kambi ya Kanyabayonga by Rédaction Centrale 5 Juni 2024 0 Mji wa Kanyabayonga tayari ilikuwa nyumbani kwa maelfu ya familia zilizo kimbia ghasia katika jamii zao kufuatia kuendelea kwa uasi....
DRC: Taarifa kuhusu Serikali ya Suminwa by Rédaction Centrale 31 Mei 2024 0 Serikali ya Suminwa ndiyo serikali ya sasa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, inayoongozwa na Waziri Mkuu Judith Tuluka Suminwa....
DRC/Usalama: Julien Paluku anapendekeza ujenzi wa jimbo lenye msingi wa jeshi na utawala dhabiti. by Rédaction Centrale 27 Mei 2024 0 Ili kumaliza mgogoro huo, Gavana wa zamani wa Kivu Kaskazini, Waziri wa Viwanda katika Serikali ya Saman1 na 2 anatoa...