Wakati huo huo , nchi ya Congo ina shuhudia mauaji ya ria wasio kuwa na hatia jimboni Kivu kaskazini , mauaji hayo ina pangwa na nchi za Rwanda na Uganda.
Watumiaji wengi wa mitandao za kijamii wana omba Pastor Munishi kuomba radhi kwa taifa la Congo , inginevyo nyimbo zake zita pigwa marufuku kote nchini Congo .
Mwimbaji huyo mukongwe kutoka taifa jirani la Tanzia ame jizoleya umaarufu mkubwa sana nchini Congo hasa maneo za mashariki mwa nchi , na kwenye Ukanda mzima huku nyimbo zake zikipigiwa upatu nchini Congo na kupendwa na jamii ya wa swahili walio wengi mashariki mwa D.R.C. Mchungaji huyo ame jikita kwenye mzozo huo , ambao una endelea ku teketeza mamia ya ria ambao wengi wao ni wa fwasi wanyimbo zake.
Congo ina shuhudia uvamizi kutoka nchi jirani za rwanda na Uganda huku ma elfu ya raia waki uliwa bila hatia .
Baada ya Mchungaji huyo kutisha Rais wa Congo Félix Antoine TSHISEKEDI kwenye meza ya mazungumzo , na ma gaidi wa M23 wanao ungwa mkono na Rwakanda, watumiaji wengi wamitandao zakijamii wanachukulia kauli hiyo kama ya upuuzi na kukosea Rais Félix heshima na wana nchi wa Congo.
Kauli za Munishi zina zusha hali ya sinto fahamu miongoni mwa wa Congomani, na kuhoji nini hasa ana ki lenga kwenye mzozo hii?
Alain Bazibuhe, musimamizi wakanisa moja la 5 Celpa hapo Kinshasa, amelaani vikali matamshi ya Faustin Munishi ambaye kwa sasa ana ishi uhamishoni nchini Kenya baada ya yakukorofishana na serkali ya Tanzania , kumuomba aombe radhi.
Imetajwakuwa Munishi,alitumia ukarasa wake wa Fecebook kuwa kashutumu vikosi vya Kenya ambavyo vilikuwa vime jumwishwa kwenye nchi za jumwia ya Africa mashariki ku jaribu kurejesha utulivu nchini Congo viki saidiana na jeshi la Congo FARDC .
Matamushi hayo ya bwana Munishi haiwezi kamwe husishwa na wa Tanzania walio wengi ambayo ni watu watulivu na wakarimu , kwa sasa jamuhuri ya Tanzia ina changiyia vikosi chini ya mkono wa SADC ku pambana na dhidi ya M23.
Unaweza pia kusoma kwa lugha ya kingereza :
Soma pia kwa luncha ya Kifaransa :
Guerre à l’Est : Le pasteur, chanteur chrétien pasta Faustin Munishi se moque contre le Congo