Bi Judith Suminwa Tuluka alipokelewa naye liwali wa jimbo la Kivu ya kusini Jean Jacques Purusi akishindikizwa na wanamemba wa serkali ya jimbo la Kivu ya Kusini.
Baada ya kupokelewa kwenyi uwanja wa ndege, waziri alijielekeza haraka kwenyi makao ya vikosi vya Monusco pa Kavumu ambavyo vinangojewa kuondoka nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.
Mengi ya habari ni tarif ya habari zinazo fatiya.